Pages

Friday, April 12, 2013

JIKUBALI Ya Ben Pol Kutoka Mwishoni Mwa Mwezi Huu ...


Msanii wa miondoko ya RnB maarufu kama Ben Pol hivi karibuni anatarajia kuachia ngoma yake mpya ...
Ben Pol anatarajia kufanya hivyo ifikapo mwishoni mwa mwezi huu, yaani Tarehe 30 ...
Ben ambae pia hivi karibuni alikuwa ARUSHA akifanya midundo mingine pande zile ataachia track hiyo inayokwenda kwa jina laJIKUBALI ...
Ben anaetamba na baadhi ya ngoma zake kama Samboira, Number One Fun, Pete na nyingine ambazo ameshirikishwa ni kamaMamayeyo ya G-NakoKaribu Dar ya Kala Jeremiah na nyinginezo anaachia zigo hilo ambalo litakuwa likizungumza na watu kujikubali wao kwanza ...
When out, y'all gonna have it right here ...