Pages

Friday, April 26, 2013

PHOTOS : Check Muonekano Mpya Wa T-Pain ... Kanyoa Rasta Zake ..


Mwanamuziki kutoka Marekani maarufu akijulikana kama T-Painameamua kuchukua uamuzi wa kukata rasta zake ambazo amekuwa nazo kwa kipindi kirefu sasa ...
T-Pain ambaye amekuwa kimya kidogo ambapo hapo nyuma alifanya vizuri katika soko la muziki la nchini humo na duniani ameamua kubadilisha muonekano wake huo na kuwa na nywele fupi ...
Tukio hilo limeonekana kuwashangaza watu wengi hasa wale waliokuwa wamemzoea na rasta zake ...
Katika muonekano huu mpya wa sasa, T-Pain ameonekana kufanana sana na msanii kutoka TanzaniaQuick Rocka.
NI KWELI ??
Cheki picha hapa chini uone ni jinsi gani wasanii hawa wanavyofanana ..