Pages

Sunday, April 28, 2013

PHOTOS : Concert Kubwa Ya Jose Chameleone #BADILISHALIVECONCERT Iliyofanyika Jijini Kampala, UGANDA ... Ona Vazi Aliloingia Nalo Kwenye Jukwaa ...


Hivi ndivyo Jose Chameleone alivyokuwa amevaa ... ni kama ametoka kwenye Mwezi na kutua jukwaani ... It was amazing !!!
Profesa Jay Akipiga Show @ The Kyadondo Rugby Groundz ...
Redsan [KENYA] ...
Mtoto wa kiume wa JOSE CHAMELEONE akipiga Gitaa Jukwaani ... Like Father Like Son ... #BadilishaLiveConcert
#GongaMx