Pages

Thursday, April 4, 2013

Kitale Awaomba Radhi Fans Na Waislamu Wenzake ...

Msanii wa vichekesho ambae pia kwa sasa anafanya muziki, Kitaleamewaomba radhi mashabiki wake wote pamoja na waislamu wenzake kwa sababu kuna mtu tofauti alikuwa anatumia ukurasa wake wa Facebook wa msanii huyu na kuanza kuutumia vibaya kwa kuandika matusi ambayo yaliyoonekana kukashifu dini ya kiislamu.
Kitale aligundua hayo baada ya rafiki yake kumtaarifu kuwa kuna mtu anaandika vitu vibaya kwenye ukurasa wake huo.
Msanii Kitale, anaomba radhi kwa mashabiki wake wote na waislamu wenzie kwa kitendo hicho kilichotokea