Pages

Monday, April 8, 2013

Jay-Z Na Beyonce Wazongwa Na Fans Wakiwa Jijini Havana, Cuba Kusherehekea Miaka 5 Ya Ndoa ..


Tarehe 4 mwezi huu, stars kutoka nchini Marekani walitimiza miaka mitano tangu kufunga ndoa ...
Jay-Z and Beyonce ambao walifunga ndoa April 4th in 2008 wamekuwa spotted jijini Havana, Cuba wakifurahia miaka miaka 5 yao ya ndoa ...
Wawili hao ambao walimuacha mtoto wao Blue Ivy na kwenda ku-enjoy jiji hilo walileta zogo kubwa la fans wao hasa baada ya kuwaona wakitembea sehemu mbali mbali jijini humo ...
Check video inayowaonesha wawili hao katika annivesary yao :