Pages

Friday, April 26, 2013

PHOTOS : Check Baadhi Ya Picha Za Wachezaji Na Kocha Wa MANCHESTER UNITED Wakishangilia Ushindi Wa LEAGUE Ya ENGLAND ...


Manchester United imeshinda na kuchukua Ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza katika mechi yao ya mwisho iliyocheza na timu ya Aston Villa ...
Manchester United ilichukua ushindi huo kupitia mabao matatu yaliyofungwa na Mchezaji ROBIN VAN PERSIEaliyefanya hivyo katika dk 45 ya kipindi cha kwanza ...
Manchester United imejiongezea record ya kuchukua ushindi huo kwa mara ya 20 baada ya kuifunga timu hiyo na itakabidhiwa Kombe lake katika mechi yao itakayofuata itakapocheza na Swansea ..