Pages

Monday, April 8, 2013

BRAND NEW VIDEO: Young Killer ft. Belle 9 - DEAR GAMBE ...


Ni video mpya kabisa kutoka kwa YOUNG KILLER ambayo ngoma yake inafanya vizuri sana redioni ... Yeah, talkin' bout DEAR GAMBE !!
DEAR GAMBE music sound imetoka akiwa amemshirikisha msanii kutokaMOROGORO, famously known as Belle 9 akiwa amesimama vizuri kwenye chorus ya mdundo huu ...
Ni video nzuri, itazame hapa chini :