Pages

Sunday, April 7, 2013

Janjaro ft. PNC - MAISHA YA SKONGA ... Produced By Marco Chali & Beef Cha ...


Ni track mpya ya Janjaro kutoka MTANASHATI ENTERTAINMENT ikijulikana kama MAISHA YA SKONGA ...
People been talkin' about shule na Janjaro in the music industry, humu Janjaro anaongelea hisia zake Skonga, what is skonga to him na ni kipi anapenda kuhusu SKONGA ....
!!! MAISHA YA SKONGA !!!
Janjaro ambae recently alikuwa South Africa katika na shows mbali mbali amerejea na ngoma hii ikiwa imefanyika MJ Recordschini ya uangalizi wa karibu wa Producer Marco Chali na Beef Cha ...
Katika dundo hili, ameshirikishwa msanii PNC ambae pia he belongs to MTANASHATI ENT. chini ya Ostaz Juma na Musoma ...
Take some few minutes of ya time na sikiliza wimbo huu hapa chini :