It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.
Pages
Thursday, April 4, 2013
BEYONCE, RIHANNA WACHANWA KUTUMIA CD JUKWAANI
Kutokana na msanii Ne -Yo kutoa maoni yake makali juu ya baadhi ya wasanii wanaoimba kwa kutumia CD maswali mengi yameibuka juu ya kuendelea kwa urafiki uliokuwepo katia yake na Rihana
Shtuma hizo zimewakumba waimbaji mahili wa kike Beyonce na Rihanna kuimba kwa kutumia CD kenye stage na ndipo alipoulizwa Ne- Yo swahili hilo alijibu kuwa " kama msanii unatakiwa kujua vyote yaani kuimba na kucheza ila unapotumia CD unaonyesha dhahiri uwezo wako mdogo hivyo kama mshabiki alikuwa anataka kusikiliza sauti yako angenunua CD na kusikilizia nyumbani hakukuwa na ulazima wa kufanya shoo " Ne Yo aliliambia gazeti la Daily Telegraph
Kesi ya Zumaridi yapangiwa hakimu mpya
-
Hakimu Monica Ndyekobora ameondolewa kusikiliza shauri la jinai namba
12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wenzake
83 bad...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...