Pages

Thursday, April 4, 2013

Prezzo To Hit NEW MAISHA CLUB Ijumaa Hii ..

Imebaki siku moja tu kwa rapper kutoka Nairobi, Kenya maarufu kama Prezzo kuja kupiga bonge la show ndani ya ukumbi wa Disco wa New Maisha Club, Oysterbay, jijini Dar Es Salaam ...
Show hiyo ambayo itakuwa siku ya Ijumaa ya tarehe 5 April,kuanzia mida ya saa tatu usiku na kuendelea, Prezzo [Kenyan Rapper] atasindikizwa na baadhi ya wasanii kutoka hapa Bongokama MwanaFA, Stereo, Feza Kessy na wengine.
Unachotakiwa kufanya ni kutokukosa siku hiyo.
Be There!!