Msanii wa maigizo ambae pia ni mwanamuziki kutoka nchini Nigeria anaefahamika kama Omotola Jolade, ndiye msanii pekee kutokea nchini humo kuweza kufikisha LIKES millioni moja katika mtandao wa kijamii wa Facebook kupitia fan page yake inayojulikana kama OMOTOLA JOLADE EKIENDE.
Hii ni idadi ya watu wengi walio-like page yake ikiwa inaonyesha ni jinsi gani watu wanavyokubali kazi zake za kisanii anazofanya na kumfuatilia kupitia page hiyo.