Rapper Mkali wa Bongo ambae kwasasa anaetikisa na ujio wake mpya ambao amemshirikishaMr.Blue ngoma inayojulikana kama "Hujali" ambayo uzinduzi wake ulifanyika J.pili ya terehe 10 pande za kigamboni hapa tunamzungumzia Young Dee a.k.a Young DSM amefunguka katika mahojiano na Teentz leo kua Hajutii kujichora Tattoo Shingoni na mkononi kwa kudai kua yeye sio mtoto tena sasa hivi umri wake unaruhusu kufanya chochote nafsi yake inavyomwambia na sababu kubwa ni kua Tattoo hizo zote zina maana kubwa katika mwili wake akielezea alisema "Kiufupi nizungumzie tattoo yangu hii ya mwisho ambayo ndo naipenda sana kulingana na maana yake, ipo mkono wa kulia ni mkono ambao ninaoutumia mara zote na nimeandika OMG ambapo chini ya kila izo herufi tatu kuna maneno yake yanii O-ver everything My hand is G-ot to make it easy...
Kesi ya Zumaridi yapangiwa hakimu mpya
-
Hakimu Monica Ndyekobora ameondolewa kusikiliza shauri la jinai namba
12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wenzake
83 bad...
2 years ago