Pages

Monday, February 11, 2013

RIHANA NA CHRISS BROWN, WANASWA WAKIVUTA BANGI CLUB, CHEKI PICHA HAPA


0211_subasset_chris_rihanna_smoking
Ikiwa siku chache tu baada ya msanii kinda kutoka marekani Justin Bieber picha zake akivutabangi AKA Ganja, wiki hii bada ya kuisha katika tuzo za Grammy Mrembo Rihana na bwana yake Chriss Brown walinaswa wakivuta Bangi club bila ya aibu kabisa. Hebu cheki hizo picha hapo juu.