skip to main |
skip to sidebar
[PHOTOS] Je Ni Kweli Lil Wayne Amekata Rasta Zake??!!...
Rapper kutokea kundi la Young Money Cash Money, Lil Wayne amesadikika kubadili muonekano wake hasa kwenyeRasta zake. Rapper huyo ambaye alianza kufuga Rasta zake kuanzia miaka ya 2000 akiwa na kundi la Hot Boyzalionekana sehemu jana akiwa na Rapper Big Boi [Outkast] akionekana kutokuwa na Rasta zake zilizomuweka Lil Wayne katika muonekano mpya kabisa.Lakini ukweli kuhusu picha hizi ni kuwa Lil Wayne hajakata Rasta zake ila ni muonekano ambao umewachanganya fans wake katika picha hizi. Lil Wayne bado ana Rasta zake kama kawa isipokuwa katika picha hizi zilionekana kufungwa kwa nyuma na kusababisha kutoonekana.