Pages

Friday, February 8, 2013

"SINA NDOTO YAKUOA MSANII YEYOTE....TULIZO LA MOYO WANGU NI MFANYAKAZI WA BENKI"....RAY WA BONGO MOVIE

“Kaa ukijua kuwa sina mpango wa kumuoa staa yeyote, mwanamke ninayetarajia kumuoa ni mfanyakazi wa benki na mipango yangu ikikamilika nitakueleza kila kitu. Mimi sitaki presha bwana,” alisema Ray.