Msanii wa muziki Tanzania, Vanessa Mdee ambae pia alifanya vizuri sana kwenye ngoma na Ommy Dimpoz “Me n U” na mpaka kufikia kuingia katika nomination za Tuzo za KTMA na baadae kuachia ngoma yake ya CLOSER …
Mpya kutoka kwa mwanadada huyu ni kuwa hivi sasa yuko mbioni kuachia video ya ngoma yake hiyo ya Closer … Video hiyo ambayo shooting yake imemalizika na leo mwanadada Vee anasheherekea siku yake ya kuzaliwa …
Kama sehemu ya kusheherekea siku yake hii, Vanessa ameamua kuachia baadhi ya picha za utengenezaji wa video hiyo …
Check picha hizo hapa chini …