Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi akimkabidhi kitita
cha shilingi milioni moja mshindi wa kwanza wa shindano la, "Tweet Wazo
Jipya Kuondoa Umaskini", Jilly Gaudence Kyomo katika hafla iliyofanyika
jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Institute Of
Management and Enterprenuership, Dkt. Donath Olomi.
Kulia ni mshindi wa
pili, Peter George aliyejinyakulia shilingi laki tano na mwanafunzi wa
chuo cha CBE, Ludovick Angelino, ambaye ni mshindi wa tatu
aliyejinyakulia shilingi laki tatu