Pages

Tuesday, March 5, 2013

Baada Ya Fans Kukasirishwa... Gucci Mane Arudia Jina Lake La Awali...


Rapper kutoka Marekani maarufu kama Gucci Mane ambae anafanya vizuri kwenye ulimwengu wa ku-rap na kuweza kujipatia umaarufu mkubwa kutokana na staili ya uimbaji wake. Sasa habari kamili kutoka kwa rapper huyo ni kuwa kupitia ukurasa wake wa Twitter alitangaza rasmi kuwa ifikapo July 2 mwaka huu atabadili jina lake rasmi, yaani kutoka Gucci Mane na kuanza kujiita ''GUWOP''.
Tukio hili si la ajabu sana kwa sababu kuna baadhi ya wasanii ambao pia walishabadili majina yao na mashabiki wao walikubaliana na majina na maamuzi hayo.
Mfano: Snoop Dogg na kujiita Snoop Lion, Puff Daddy na kujiita P. Diddy then DiddyN.O.R.E to P.A.P.I. Lakini kwa mashabiki wa rapper Gucci wameonekana kutokufurahishwa na kitendo hicho na kuanza kumjibu vibaya rapper huyo.
Hizi ni baadhi ya tweets ambazo zinamuhusu rapper huyo kutoka kwa fans:
_______________________________