Pages

Thursday, March 7, 2013

List Ya Wasanii Wa Muziki [Afrika Mashariki] Wanaoongoza Kuwa Na Likes Nyingi Katika Mtandao Wa Kijamii Wa Facebook...


Nonini ameonekana kuwa na Likes nyingi zaidi kuliko wasanii wote kutoka East Africa, kwani msanii huyo anaongoza kwa kuwa na Likes 91,650 katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
Wasanii kutoka nchini Tanzania ambao wanaongoza kuwa na likes nyingi zaidi ni Fid Q pamoja na Lady Jaydee, ambapo Fid Q ana jumla ya Likes 51,600 na Jide ana jumla ya Likes 42,700.
Taarifa hizi zimetolewa na mtandao wa Hipipo kutoka Uganda ambapo umetoa chati ya wasanii 50 kutoka East Africaambao wana Likes nyingi zaidi kuliko wasanii wengine.
Check hapa chini chart kamili: