Kama unakumuka hapo nyuma tuliwataarifu kuwa mwezi huu mwanamuziki kutoka Marekani, Chris Brown atakuwa akipiga show nchini Ghana, sasa hii ni video inayoonesha jinsi show hiyo ilivyokuwa.
Katika show hiyo, msanii kutoka Nigeria maarufu kama Wiz Kid pia alikuwepo na kupiga show jukwaani pamoja naBreezy.
Check video yenyewe hapa chini: