Pages

Friday, March 8, 2013

Wema Sepetu Akimwaga Pesa Katika Sherehe Za Woman Fashion Celebration...


Mwanadada Wema Sepetu, mmiliki wa kampuni mpya ya Endless Fame Film, weekend iliyopita alionekana kumwaga hela nyingi kwa mwimbaji maarufu wa Taarabu nchini, bibie Khadija Omar Kopa.
Wema alimwaga mapene hayo ikiwa ni katika kumpongeza mwimbaji huyo kwa kile kinachoonekana kuvutiwa na jinsi alivyokuwa akiimba. Tukio hilo lilitokea katika sherehe za 8020 Fashion Woman Celebration zilizofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee weekend iliyopita.
Cheki video yenyewe hapa chini: