Ikiwa imepita siku moja tangu mwanadada Lady JayDee kuachia kibao chake kipya cha Joto, Hasira, sasa Jide yuko mbioni kuachia album yake mpya ambayo bado hajajua ataipa jina gani.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Jide amewaomba mashabiki wake wamsaidie kuchagua jina ambalo anatarajia kuipa album yake mpya.
Majina ambayo alioyachagua ni THE QUEEN IS BACK au NOTHING BUT THE TRUTH.
We ukiwa kama shabiki mkubwa wa mwanamuziki huyu unahisi ni jina lipi ambalo litafaa kutumika katika album yake hiyo ijayo??!!
Tupia comment zako hapa chini halafu tuone..