Check video mpya kabisa kutoka kwa mwanamuziki maarufu Marekani, Nelly ambae hapo nyuma alikuwa akifanya vizuri sana na baadhi ya track zake kama Dilema, Ride With Me, Hot In Here, Just A Dream na nyinginezo.
Ngoma yake hiyo mpya ambayo inakwenda kwa jina la ''PORSCHE'' sasa imetoka, siku za nyuma tulikuonesha hapa hapa behind the scene ya utengenezaji wa video hiyo.
Sasa video hiyo imekamilika, i-check hapa chini: