Hii ndio account feki ambayo inatumia jina la Tanesco [Shirika La Umeme Tanzania]. Account hii imeonekana kuwa kituko kwa walio wengi hasa pale ambapo haitoi majibu yanayoridhisha wateja wake na mengine yakiwa ni mabaya.
Bado hajatambulika mtumiaji na haijajulikana ni nini dhumuni la huyo muendeshaji wa account hiyo. Hizi ni baadhi ya tweets ambazo watu walikuwa wakijibiwa na maswali yao kutoka kwenye ukurasa huo feki: