Pages

Tuesday, March 5, 2013

New: Radio & Weasel - Magnetic...


''MAGNETIC'' ni wimbo mpya kabisa kutoka kwa Radio & Weasel kutoka kwenye album yao mpya inayojulikana kama ''FANTASTIC''. Wimbo huu umerekodiwa katika studio ya Monster iliyoko Kampala na video imefanywa nadirector kutoka Nairobi maarufu kama Andrew Macharia.
Check video yenyewe hapa chini: