skip to main |
skip to sidebar
HUYU NDIO MTOTO WA WILL SMITH ANAYETOKA KIMAPENZI NA MDOGO WA KIM KARDASHIAN
Imethibitika kua mdogo wa mwanamitindo marufu nchini marekani ambaye pia ni mama kijacho wa rapper Kanye West, Kim Kardashian. Hivi sasa anatoka kimapenzi na mtoto wa mwigizaji maarufu kutoka pande za obama Will Smith, Jayden Smith. Habari teenblogswagg.blogspot.COMilizozipata kutoka vyanzo mbalimbali ni kua Jayden na Kylie walikua marafiki wa mda mrefu kwa miaka mingina ni siku za karibuni tu ndio wameanza mahusiano hayo.