Producer mkali na mkongwe ambae huwezi kubisha alichangia kwa kiasi kikubwa kuukuza muziki na vipaji hapa nyumbani TZ, CEO of MJ Records, Master Jay (@Masterjtz on twitter) sasa it seems like amerudi tena kwenye game. You can say MASTER PIECES ARE BACK!!!
Master ambae pia ndiye mmiliki wa studio ya MJ Records ambayo kwa kipindi chote ambacho alikuwa kimya ilikuwa ikiendeshwa na Marcho Chali ambae nae pia amechangia kwa kiasi kikubwa kuifanya studio hiyo iendelee kuwa juu.
Well Welcome Back Bruv tunategemea vitu vikali zaidi kutoka kwako...!!