Star kutoka nchini Marekani, Chris Brown siku chache zilizopita alionekana akiwaonjesha mashabiki wake ambao pia walihudhuria kwenye Private Party ambayo iliandaliwa na P.Diddy.
Breezy alionekana aki-perform ngoma yake hiyo mpya ambayo bado hajaiachia rasmi, na pia bado haijafahamika siku ambayo ataiachia.
Imefahamika pia, ngoma hii itakuwa ni moja ya ngoma ambazo zitakuwa ndani ya album ijayo ya Chris ikiwa ni ya sita toka aanze muziki na katika ngoma hiyo atamshirikisha Rihanna.
Check kipande cha video yenyewe hapa chini, Breezy akiimba ngoma hiyo: