Hitmaker wa track ya Rack City, Tyga ambae yupo chini ya label ya Young Money[YMCMB] sasa he's looking out kuachia album yake nyingine.
Tyga anatarajia kuachia album hiyo ifikapo April 8 mwaka huu, ambapo jina la album hiyo ni litakuwa likiitwa Hotel California.
Tracks zote ambazo zitakazokuwemo ndani ya album hiyo zimefanywa chini ya Young Money/Cash Money Records.