Meek ali-freestyle kwenye beat hiyo ya Drake, ''Started From The Bottom'' ambayo imeonekana kufanya vizuri na kupendwa na fans wengi wa rap music.
Sikiliza track yenyewe hapa chini:https://soundcloud.com/dreamchasersrecords/started-from-the-bottom