Pages

Friday, March 8, 2013

Behind The Scene Ya Utengenezaji Wa Video Ya Matonya...


Mwanamuziki ambae kwa sasa anafanya vizuri na track yake mpya ''Zilipendwa'', Matonya yuko mbioni kuachia video yake mpya ya wimbo ''SEMBULE'', ambapo siku chache zilizopita alikuwa kwenye maandalizi ya utengenzaji wa video hiyo...
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezaji wa video hiyo: