Pages

Friday, April 26, 2013

Jambo Squad - MAMONG'OO ...


Ni kundi linalofanya vizuri sana kutoka Arusha likijulikana kama Jambo Squad ...
Jambo Squad hadi sasa linafanya vizuri na baadhi ya ngoma zake kama Mamong'oo, Mbulula na nyinginezo ...
Sasa mpya kutoka katika kundi hili ni kuwa limeachia video ya ngomaMAMONG'OO ...
Mzigo mzima wa video hiyo umesimamiwa chini ya kampuni yaHoodPixx VMG kutoka Arusha pia ...
Check video yenyewe hapa chini ..