Pages

Friday, April 26, 2013

BEHIND THE SCENE VIDEO : Check Sehemu Ya Matengenezo Ya Ngoma Mpya Ya Ray J "I HIT IT FIRST" ...


Mwanamuziki kutoka Marekeni maarufu kama Ray J, ambae hivi karibuni ameachia single yake mpya inayokwenda kwa jina la ''I Hit It First'' ... Anafanya video ya ngoma hiyo ...
Mpya kutoka kwa msanii huyo ni kuwa hivi sasa yuko mbioni kuachia video ya ngoma yake hiyo, wimb o amabo umetafsiriwa kuwa amemuimbia mwanadada KIM KARDASHIAN ...
Hiki ni kipande cha video hiyo kinachoonyesha utengenezaji wake ...
Kicheck hapa chini :