Licha ya mastaa wengi kuvaa vizuri na kupendeza lakini Irene Uwoya na Mainda walikuwa ni miongoni mwa mastaa waliovaa vibaya/worst dressed stars by exposing sehemu kubwa ya matiti yao. Uwoya ambaye ameshindwa kujirudisha katika shape yake yenye mvuto tangu ajifungue kwa kujiachia kunenepa alivaa gauni ambalo halikumpendeza na pia rangi ya gauni haikumkaa vizuri yeye kama star. Mainda anayedai kuokoka alivaa kigauni kifupi kilichoonekana kumpa shida katika pose akiwa amekaa huku kikiacha sehemu ya matiti yake na kuonyesha tatoo zake. Angalia picha hizo.........
Kesi ya Zumaridi yapangiwa hakimu mpya
-
Hakimu Monica Ndyekobora ameondolewa kusikiliza shauri la jinai namba
12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wenzake
83 bad...
2 years ago