Pages

Tuesday, April 2, 2013

New: Nisher - I'M SINGLE ..

Hii ni brand new track kutoka kwa Producer wa music ambae pia ni Director wa videos kutoka Nisher Entertainment.
Nisher Baybee akiwa ameachia track yake mpya ambayo aliahidi kuiachia hivi karibuni inayokwenda kwa jina la ''I'm Single''.
Kuwa wa kwanza kuisikiliza ngoma hii hapa chini: