Baada ya kutamba na kufanya vizuri sana na ngoma yake ya Keshoalioifanya kwa Marco Chali, sasa msanii Diamond ameamua kuachia ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la ''MAPENZI BASI''.
MAPENZI BASI ameifanyia ndani ya Studio za AM Records chini ya Producer Maneck.
Be the first one kuisikiliza ngoma hii hapa chini :