Jaguar anaefanya vizuri kwenye muziki wake huko nchini Kenya naAfrica kwa ujumla inasemekana he had purchased ndege yake hiyo binafsi siku za nyuma kipindi cha kampeni za uchaguzi nchini Kenya na ameshaitumia mara kadhaa ...
Jaguar ambae hivi karibuni ameachia single yake mpya inayojulikana kama KIPEPEO inasemekana amenunua ndege hiyo ambayo pia ameshaipa jina lake, yaani AIR JAGUAR ...