Tuzo za kumpata msanii/band/mshairi/wimbo n.k. katika sanaa ya muziki zimewadia ...
Tuzo hizo zenye udhamini wa kiwanda cha bia nchini Tanzania, chini ya kinywaji chake chaKILIMANJARO, yaani KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS zimeanza mchakato wake na vifungu vya tuzo hizo vimeshatoka ...
Ommy Dimpoz anaonekana kutokea katika categories nyingi zaidi kuliko msanii mwingine yeyote ...
Check categories zote hapa :