Mkasi TV shows zimefika 70 ... Na show hii itaendelea tena ifikiapoJune, yaani mwezi wa sita mwaka huu ...
Show hii inakuletea baadhi ya shows zake ambazo imewahi kufanyya na watu maarufu na wasio maarufu tofauti tofauti ...
Katika video hii, Mkasi pia imeshirikisha fans wa kipindi hiki ikiwemo mawazo pamoja na kuangalia ni kipi kilimpendeza katika 70 hivyo ...
With her head presenter Salama J ... Check the special show of Mkasi TV :