Pages

Sunday, April 7, 2013

Aslay ft. Ally Nipishe - MANENO YA WAHENGA ...


Baada ya kuachia video ya wimbo huu wa Maneno Ya Wahengaambayo ilitoka jana... Aslay ameachia audio ya wimbo huo ambao amemshirikisha msanii Ally Nipishe.
Sikiliza na kudownload MANENO YA WAHENGA hapa chini: