Manchester United ilichukua ushindi huo kupitia mabao matatu yaliyofungwa na Mchezaji ROBIN VAN PERSIEaliyefanya hivyo katika dk 45 ya kipindi cha kwanza ...
Manchester United imejiongezea record ya kuchukua ushindi huo kwa mara ya 20 baada ya kuifunga timu hiyo na itakabidhiwa Kombe lake katika mechi yao itakayofuata itakapocheza na Swansea ..