Baada ya ngoma yake ya NATAKA aliyomshirikisha Producer Marco Chali kutoka MJ Records, Godzilla ame-release ngoma yake nyingine mpya siku ya leo inayofahamika kwa jina la ''ZAIDI YA HAPO''
Ngoma hii ameifanya chini ya Producer Master J, legend producer and owner of MJ Records.
Kuwa wa kwanza kusikiliza na kudownload ngoma hii hapa chini: