Maua, who is still studying at MUCCOBS [Moshi] amekuja jijini Dar na kusikika kwenye Interviews tofauti pamoja na show ambayo ameshafanya ... amekuwa akimtaja Ben Pol as one of her favorite artists in Tanzania na alitamani kufanya nae ngoma ... Well, that happened already !!
Maua ambae yupo katika label inayosimamia kazi za muziki, LIFE LINE INC. iliyo chini ya MwanaFA amefanya ngoma hiyo few days ago na Ben katika studio za THT chini ya Producer Ema The Boy ...
GongaMx ilipata nafasi ya kusikia demo ya ngoma hiyo ... Its aDope Track ambayo huwezi kuisubiri itoke ingawa pia bado haijamaliziwa matengenezo ..