Hii ni brand new video kutoka kwa Tyga akiwa amemshirikishaMolly pamoja na Wiz Khalifa na ngoma inaitwa ''Mally Mall''.
Pia kama unakumbuka wiki chache zilizopita tuliwahi kuwaletea Behind The Scene ya ngoma hii, sasa leo ndio imeachiwa rasmi video yenyewe.
Cheki hapa chini video yenyewe :http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=2XvtrGJYhDE