Rapper kutoka Mbeya City, Izzo Biznaaa... He's ready kuachia ngoma yake nyingine itakayokwenda kwa title ya LOVE ME ...
Izzo Bizness a.k.a Mbeya Boy ambae kwa sasa bado anafanya vizuri na ngoma yake ya BALL PLAYER aliyowashirikisha Ngwair, Quick Rocka na Ruth atafanya hivyo the coming week kwenye ngoma yake mpya hiyo iliyo-base kwenye mapenzi ...
Speaking to Izzo Bizness himself, anasema its a love song aliyomshirikisha mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent [THT], one of the best male vocalist in Bongo, BARNABApamoja na Queen of Lava Lava, SHAA ...
Ngoma hiyo ambayo tutawaletea exact date hivi karibuni imefanya na producers wawili, one of them akiwa Nahreel... Nahreelametengeneza mdundo huo huku mixing ikifanya na legendary producer kutoka MJ Records, talkin' bout Master J
..