G-Nako who's a member of N2N Soldiers also WEUSI alikuwaArusha pamoja na Ben Pol kwa ajili ya kutengeneza video ya ngoma yake ya hiyo ...
Mpya about the video is, akiongea na GongaMx, G-Nako amesema kuwa video hiyo itakuwa tayari na kuachiwa rasmi Tarehe 28 mwezi huu.
Kwenye picha anaonekana Gnako, Ben Pol, Nisher kutoka Nisher Entertainment ambae ndiye Director wa Video hiyo pamoja naLord Eyez ..