Baba wa msanii maarufu nchini Marekani na duniani, CHRIS BROWN hivi karibuni ameonekana kukerwa na picha za girlfriend wa mwanae, yaani RIHANNA na kusema kuwa hii ni moja ya sababu hakupenda mwanadada huyu kurudiana na mwanae ...
CLINTON BROWN amefunguka na kusema tabia ya RIHANNA kuonekana anakunywa na kuparty si sawa na anaona ni afadhali wasingerudiana ... This wouldn't turn back RIHANNA as hivi karibuni aliendelea kuweka picha katika ukurasa wake wa Instagram kama inavyoonekana hapo juu na hapa chini pia ...