Pages

Friday, April 12, 2013

Ben Pol Ndani Ya Studio Ya NoizeMekah - ARUSHA ...


Msanii wa kizazi kipya ambae anafanya muziki wa miondoko yaRnB, real name Benard Paul a.k.a Ben Pol ambae kwa sasa anafanya vizuri sana katika game ya muziki, recently alikuwa ARUSHA ...
Ben alipokuwa huko ambako mara ya kwanza ilikuwa ni kwa ajili ya ku-shoot Gnako's new video "MAMA YEYOO", pia alipata chance kutembelea Studio ya NoizeMekah ambako pia alipata nafasi ya kutengeneza mdundo kutoka katika studio hiyo chini ya ProducerDX.
Here below ni video inayomuonesha Ben Pol akiwa ndani ya studio hiyo ...
Katika video clip hii, pia utapata time ya kuiisikia kidogo ngoma hiyo aliyoirekodi huko, icheck hapa chini