Rapper French Montana ambae yuko chini ya label ya Bad Boys sasa yuko mbioni kuachia video ya ngoma yake mpya ambayo amemshirikisha femcee kutoka kundi la Young Money [YMCMB], Nicki Minaj.
Ngoma hiyo ikiitwa "FREAKS" it shows parts of the video, where Nicki on this corridor and actually how she can befreeakyyy... Lol.
Check the video hapa chini mtuangu...

