Pages

Sunday, February 24, 2013

CAMP MULLA KURIKODI NYIMBO KUHUSU UCHANGUZI HUU WA KENYA


Napenda Ufahamu kuwa Wasanii tayari wameanza kuhamasisha Vijana na Wananchi wa Kenya kupiga kura kwenye uchaguzi huu na Camp Mulla tayari wamesha rekodi wimbo kwa ajili ya Watu wao. Joint hii ya Camp Mulla inaitwa `If You Believe' na utatoka hivi karibuni baada tu ya video kukamilika. Cheki Hizi Picha Hapa Chini.